Donate

Kutoamini ni jambo la kushangaza sana (Unbelief is an Amazing Thing)

Resource Details

Description

In this short article, Bishop Ryle addresses two questions based on Mark 6:6: “He was amazed at their lack of faith.”

1. Je, kutoamini ni nini?
2. Je, ni kwa nini kutoamini kunashangaza?
  1. Kutoamini kunashangaza kwa sababu kunapatikana tu humu duniani na hakuna mahali pengine.
  2. Kutoamini kunashangaza kwa sababu ni jambo la majivuno.
  3. Kutoamini ni jambo la kushangaza kwa sababu ni jambo ambalo silo la haki.
  4. Kutoamini ni jambo la kushangaza kwa sababu halimletei mtu faraja ya milele.

“siyo dhambi inamtuma mtu jahanum bali ni kutoamini” – J.C. Ryle

Find this article in English here.

Author

J.C. Ryle

Publication Date

2026-04-30

Tags

Gospel