Kutoamini ni jambo la kushangaza sana (Unbelief is an Amazing Thing)
Resource Details
Description
In this short article, Bishop Ryle addresses two questions based on Mark 6:6: “He was amazed at their lack of faith.”
1. Je, kutoamini ni nini?
2. Je, ni kwa nini kutoamini kunashangaza?
- Kutoamini kunashangaza kwa sababu kunapatikana tu humu duniani na hakuna mahali pengine.
- Kutoamini kunashangaza kwa sababu ni jambo la majivuno.
- Kutoamini ni jambo la kushangaza kwa sababu ni jambo ambalo silo la haki.
- Kutoamini ni jambo la kushangaza kwa sababu halimletei mtu faraja ya milele.
“siyo dhambi inamtuma mtu jahanum bali ni kutoamini” – J.C. Ryle
Find this article in English here.
Author
Publication Date
2026-04-30
Category
Tags
