Ishara za Mkristo wa Kweli (Signs of True Conversion)
Resource Details
Description
Muhtasari wa maudhui
- Yule ambaye anamwamini Yesu Kristo ako na amani na tumaini.
- Yule ambaye anamwamini Yesu Kristo ana moyo mpya.
- Yule ambaye anamwamini Yesu Kristo ni mtu mtakatifu katika moyo wake na katika maisha yake.
- Yule ambaye anamwamini Yesu Kristo hutenda mambo mema.
- Yule ambaye anamwamini Yesu Kristo atashinda ulimwengu.
- Yule ambaye anamwamini Yesu Kristo ana ushuhuda ndani mwake kwamba kweli yeye ni mtoto wa Mungu.
- Yule ambaye anamwamini Yesu Kristo atamheshimu sana.
Pata hii pia katika lugha ya Kiingereza hapa
Author
Publication Date
2026-04-30
Category
Tags
